Minoxidil Topical Solution 5%
TZS 35,000
Maelezo ya Bidhaa
Faida ya kwa Nini utumie Minoxidil
1️⃣ Husaidia kuchochea ukuaji wa nywele mpya.
2️⃣ Hupunguza kasi ya kupotea kwa nywele.
3️⃣ Huongeza unene wa nywele zilizopo.
4️⃣ Husaidia kujaza maeneo yenye upara au nafasi wazi.
5️⃣ Rahisi kutumia kila siku bila usumbufu.
6️⃣ Huongeza confidence na muonekano wa ujana.
✨ Rudisha muonekano wa nywele zako na confidence yako leo!"
Tathmini
Bado hakuna tathmini.