Gusemoo Batana Hair Mask
TZS 30,000
Maelezo ya Bidhaa
Faida 6 za Hair Mask kwa Nywele:
1. Huongeza unyevunyevu kwenye nywele.
2. Hupunguza kukatika kwa nywele.
3.Hulainisha nywele na kuzifanya ziwe laini.
4.Huongeza mng'ao na uzuri wa nywele.
5.Husaidia kurekebisha nywele zilizoharibika.
6 Hupunguza kuchanganyikana kwa nywele na kurahisisha kuzichana
Tathmini
Bado hakuna tathmini.