Organic Batana Oil
TZS 30,000
Maelezo ya Bidhaa
Faida 6 za BATANA OIL 🌿
1. Husaidia kupunguza kukatika kwa nywele.
2. Hulainisha nywele na kuondoa ukavu.
3. Huzifanya nywele kung'aa.
4. Husaidia kuimarisha nywele.
5. Hulainisha ngozi ya kichwa.
6. Husaidia kutunza urefu wa nywele.
🌿 BATANA OIL – Utunzaji bora wa nywele zako!
Tathmini
Bado hakuna tathmini.